National Anthem of Uganda

National Anthem of Uganda

Ewe Uganda!
Mungu akutunze
Tunaweka kesho yetu mkononi mwako.
Pamoja kama watu huru kwa ajili ya uhuru
Tutashikamana daima.

Ewe Uganda!
Nchi ya uhuru
Tunakutolea upendo na kazi.
Pamoja na majirani wetu
Kwa wito wa nchi yetu
Twaishi kwa amani na undugu.

Ewe Uganda!
Nchi inayotulisha
Kwa jua na ardhi yenye rutba.
Kwa ajili ya nchi yetu
Tutasimama daima
Wewe ni lulu ya taji la Afrika.

-------------------------------------

English Translation

Oh Uganda!
May God uphold Thee
We lay our future in thy hand
United, free, for liberty
Together we'll always stand.

Oh Uganda!
The land of Freedom
Our love and labor we give
And with neighbors' all
At our Country's call
In peace and friendship, we'll live.

Oh Uganda!
The land that Feeds us
By sun and fertile soil grown
For our own dear land
We'll always stand
The Pearl of Africa's Crown.

 

Independence Day of various Countries
Argentina Australia Belgium Brazil Canada Columbia Costa Egypt France Germany
India Iran Ghana Kenya Macedonia Malaysia New Zealand Nigeria North Korea Norway
Pakistan Peru Russia Saudi Arabia Srilanka South Africa South Korea USA Zimbabwe

This website is up for sale at $3,000.00. Please contact 9811053538 for further details.